Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
NUKUU NO 1#
Ni vema kila taifa likafahamu, iwe ni taifa linalotutakia mema ama kinyume chake, kwamba tupo tayari kwa gharama yoyote
Kwa kubeba mzigo wowote, kwa kukabiliana na ugumu wowote, katika kuunga mkono au kupinga ili mradi tu kuhakikisha uhuru unatwaa nafasi yake popote
Maneno haya yalipata kutamkwa na aliyekuwa Rais wa Marekani, John Kennedy, January 20,1961
Kennedy alizaliwa Mei 29,1917 na kuuawawa November 22,1963
President manuksi
.........