Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mke wangu ana miaka 17, si unajua sheria ya ndoa ya Tanzania inaruhusu mpaka miaka 14 hahahahaha
Sikiliza:
**********
Kila nchi INA sheria zake kwa Tanzania mtoto ni mtu aliye chini ya miaka 18

Kwa nchi nyongi za Ulaya mtoto ni mtu aliye chini ya miaka 15

Kuhusu kuolewa na miaka 14 Sheria ya ndoa (MARRIAGE ACT) Inasema msichana chini ya miaka 18 anaolewa kwa ridhaa/ruhusa/idhini ya wazazi tena siyo meanafunzii kwahiyo huwezi kukichukua kinyemela kitoto cha 17 ,16& 15yrs ... ukakiweka ndani kinyumba
14yrs nadhani hairuhusiwi kabisa labda iwe mambo ya kimila (CUSTOMARY MARRIAGE) tena na yenyewe ni kuanzia 15 yrs
Nimekujibu kisheria
..............
 
Sikiliza:
Kila nchi INA sheria zake kwa Tanzania mtoto ni mtu aliye chini ya miaka 18

Kwa nchi nyongi za Ulaya mtoto ni mtu aliye chini ya miaka 15

Kuhusu kuolewa na miaka 14 Sheria ya ndoa (MARRIAGE ACT) Inasema msichana chini ya miaka 18 anaolewa kwa ridhaa ya wazaz tena siyo meanafunzii kwahiyo huwezi kukichukua kinyemela kitoto cha 17 yrs ukakiweka ndani kinyumba
Nimekujibu kisheria
..............
Nashukuru mkuu kwa kuwaelimisha hawa Makapuku wenzetu
 
Back
Top Bottom