Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,272
Sawa mkuuZiko poa kabisa
Sawa mkuuZiko poa kabisa
Umeona eee

Safi. Alisajiliwa Simba akiwa Makongo kabla ya baba yake kumuhamishia Yanga.Nyongeza
..................
Leo ni birthday ya Jerson/Jerry Tegete
Ana bao 5 za Kariakoo Derby km Tambwe na Emmanuel Gabriel
Tambwe atawapita wote haoView attachment 413973View attachment 413974View attachment 413975![]()
Birthday Boy
Makongo Secondary team
Young Africans
Mwadui Fc
....................
Kazi nzuri toka kwa Discipline boy.
Jamaa anachomekea jeziKazi nzuri toka kwa Discipline boy.
Mzee John Tegete kocha wa Toto Africans shabiki wa YangaSafi. Alisajiliwa Simba akiwa Makongo kabla ya baba yake kumuhamishia Yanga.
America ya kusini hiyo
Imepewa jina gani sasa?View attachment 413999ngoma inaelekea California
MatayoImepewa jina gani sasa?
Au MatthewImepewa jina gani sasa?
Na hachomoi mpaka dk 90 ziishe.Jamaa anachomekea jezi
![]()
![]()
![]()
........
Duuh mbona balaa kubwa? Hollywood watapona kweli?View attachment 413999ngoma inaelekea California