Makapuku Forum

Makapuku Forum

Binafsi sijawahi onana nae
Lakini kitambo nilikuwa nafikiria kuonana nae 7bu aliwahi kusema anapafahamu huku Luhanga kwahiyo nahisi nipo karibu naye

Muda ukiniruhusu pindi akirudi Dar nitamtafuta.......urafiki wa kweli unavuka mipaka ya KF(Wapo niliowahi kuona na nao)
............
Nami nakupongeza, binafsi najivunia kf imeniunganisha na watu wazuri sana, sometimes tunataniana hapa watu wanafikiri waliopo humu ni vilerzer lkn humu watu ni vichwa na waonao mbali...hongera kwa kubuni uzi huu mimi umenifaa....wengine mahusiano yamezaa matunda chanya [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] bitoz
Pia tumfariji mwenzetu musso amekuw na mchango mkubwa sana hapa
 
Binafsi sijawahi onana nae
Lakini kitambo nilikuwa nafikiria kuonana nae 7bu aliwahi kusema anapafahamu huku Luhanga kwahiyo nahisi nipo karibu naye

Muda ukiniruhusu pindi akirudi Dar nitamtafuta.......urafiki wa kweli unavuka mipaka ya KF(Wapo niliowahi kuonana nao)
............
[emoji106] [emoji106] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usishtuke dadake, ni kawaida tu,
Nabakia kuwa kaka na makaveli 10 atabakiwa kuw mwenye mali
Cc makavel 10
Lazma ashtuke.. Yee anajua kwenye familia wamezaliwa wawili tu, yeye na pacha wake ndio maana

Ila mimi sina tatzo na wewe, mdugu sio lazma mlale tumb moja..
 
Nami nakupongeza, binafsi najivunia kf imeniunganisha na watu wazuri sana, sometimes tunataniana hapa watu wanafikiri waliopo humu ni vilerzer lkn humu watu ni vichwa na waonao mbali...hongera kwa kubuni uzi huu mimi umenifaa....wengine mahusiano yamezaa matunda chanya [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] bitoz
Pia tumfariji mwenzetu musso amekuw na mchango mkubwa sana hapa
Ndo ivo
Napendekeza anayejisikia kumpa mkono wa pole amtafute Mussolini PM (Hivyo hapa tusijadili sana)
Tumuache apumzike
................
 
Back
Top Bottom