Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Asante nawe pia
Asante nawe pia
Shukrani nawe piaUsiku mwema ,wa mwisho humu ndani leo
Urare saramaShukrani nawe pia
Morning mlipa kodi.Moningi Makapuku
Morning QuigleyMorning mlipa kodi.
Asante mlipa kodiMoningi Makapuku
Morning broMorning mlipa kodi.
Morning ankaliMorning Quigley
Morning all
Morning shululuMorning Quigley
Morning, vp pande hizoMorning shululu
Jimena nakusalimu dadakeAsante mlipa kodi
Morning bro
Morning ankali
Leo katika Historia:
1932 - Iraq yajipatia Uhuru wake toka kwa Uingereza.
1952 - Uingereza yajaribu Silaha zake za Nyuklia.
Kitendo hiko kinaifanya kuwa nchi ya tatu Duniani kumiliki silaha hizo hatari kabisa.
1990 - Ni siku ya Muungano nchini Ujerumani.
Ambapo Ujerumani Mashariki na Ujerumani Magharibi zamaliza tofautu zao na kuungana upya na kuwa Nchi moja.
Kabla ya hapo nchi hizo zilitenganishwa na Ukuta wa Berlin.