Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,928
kwema kabisaaaaMzee kitabu veepe!
ahsanteSafi, karibu ndugu KITABU
Imeenda njema, leo watu wako busy/tired hapa kimya kingiWakuu siku imeendaje?
Poleee sanaaJamani nimepata msiba, nimefiwa na baba yangu mkubwa jana, tunazika leo Tanga. Nipo safarini kuwahi mazishi.
Poa,Mambo niajeeehabari zenu wakuu??kitambo sanaaaa
Imeenda vyema kabisaWakuu siku imeendaje?
mambo safiiiPoa,Mambo niajeee
Nini ukuwe???Unalala mukongo, lala ukue
Nawe pia

Safi sanaImeenda vyema kabisa
Morning QuigleyMorning family
Mambo vpMorning Quigley
Poa kabisa, vp umeamkaje?Mambo vp