Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Nahisi wasudan kusiniHizi mbegu mbaya sana
Sura mbaya
Weusi
Wachafu
.......
Nahisi wasudan kusiniHizi mbegu mbaya sana
huyu ni kimeo plusKama Takuma
JE WAJUA?
Hii ni picha ya kwanza kupigwa kwa kamera duniani mwaka 1826,ilipigwa na Joseph Niepce huko ufaransa
View attachment 409594
Yaaani mvutolessNahisi wasudan kusini
Sura mbaya
Weusi
Wachafu
![]()
![]()
![]()
.......
AiseeJE WAJUA?
Hii ni picha ya kwanza kupigwa kwa kamera duniani mwaka 1826,ilipigwa na Joseph Niepce huko ufaransa
View attachment 409594
Genius![]()
Niepce
..............
Umejuaje labda kamera kanunua dukaniGenius
hii kama niliiiona humu hiviiiiLeo nimeingia jikoni nikamuona asubuhi sisimizi mmoja kwenye kabati nikamuwekea *visukari* kidogo mbele yake akaanza kulamba na baadae kidogo akaenda kuwaita wenzake. Alipoondoka me nikaifuta ile sukari ili wenzie wakija wamwone *muongo*.
*SIPENDAGI UJINGA MIMI*
JE WAJUA?
Huyu ni MTz wa kwanza kupanda mlima mrefu zaidi duniani wa Everest,anaitwa Wilfred Mushi.View attachment 409607
Kwanini Uingereza imetawala sehemu nyingi kuliko nchi nyingi za ulaya?Uingereza kaitawala Dunia
Alieibuni ndio angekuwa wa 1 kufotoa sasaUmejuaje labda kamera kanunua dukani
Ngoja nitafute data
..........
Masonic pose, ngoja bitoz aje ka .....wa vingongo

Nini kilimtoa Rijkaard Barcelona???1962 - Frank Rijkaard anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Uholanzi aliyetamba akiwa na klabu ya Ac Milan na tinu ya taifa ya Uholanzi.
Baada ya kustaafu alikuja kuwa kocha wa Barcelona ambapo alitengeneza timu iliyokuja kutawala soka la Ulaya ikiwa ni pamoja na kushinda ubingwa wa ulaya mwaka 2006.