Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
1986 - Olivier Giroud anazaliwa.
Ni mchezaji wa klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa.
Miss Olivia kizembe
.....
1986 - Olivier Giroud anazaliwa.
Ni mchezaji wa klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa.
1986 - Cristian Zapata anazaliwa.
Ni beki wa kati wa timu ya taifa ya Ac Milan na timu ya taifa ya Colombia.
Mpira umevuka sana mstariHili tukio lilizua gumzo kubwa sana, refa akaendeleaza tabia za uoga pale OT
Hii mechi siku hiyo ilinisikitisha sana na kwanza gori lile lilikuwa uzembe wa kipa na kuanzia hapo imani ya Alex kwa kipa ilipungua sanaMpira umevuka sana mstari
Nahisi refa aliamua tu kuua soo
![]()
![]()
![]()
..........
Asante nawe pia mkuu mussolinLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Simba Na Yanga huku ukinogeshwa na Kombinesheni ya Ki-A-Ma, tukutane kesho.
Weekend njema.
Refa alikuwa mbali, ila ranzimem ndio alibeba lawamaMpira umevuka sana mstari
Nahisi refa aliamua tu kuua soo
![]()
![]()
![]()
..........
Hizi mbegu mbaya sana![]()
Namtafuta Afande Sajo
MP wa Lugalo
![]()
![]()
![]()
...........
Hehehe hii sasa kaliLeo ni siku ya kimataifa ya Ukalimani.
Happy birthday Tpain1985 - T.Pain anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.
Zinapatikana ukanda gani?Hizi mbegu mbaya sana
Kama TakumaKimeo
Ndio tumejua hivyo atiHehehe hii sasa kali
Asante kwa historia bepariLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Simba Na Yanga huku ukinogeshwa na Kombinesheni ya Ki-A-Ma, tukutane kesho.
Weekend njema.
Hata sielewiZinapatikana ukanda gani?
Tutafute dili za kutranslate sasaNdio tumejua hivyo ati
Ngoja aje hapa mnyakiHata sielewi
Hii mechi siku hiyo ilinisikitisha sana na kwanza gori lile lilikuwa uzembe wa kipa na kuanzia hapo imani ya Alex kwa kipa ilipungua sana
