Makapuku Forum

Makapuku Forum

1945 - Ehud Olmert anazaliwa.

Alikuwa ni Waziri Mkuu wa 12 wa Israel. Japo alitawala kwa muda mfupi wa miaka mitatu ila anachukuliwa kama mmoja wa Waziri Mkuu waliotawala kibabe dhidi ya maadui wa Israel.

Alijiuzulu kwa kashfa za Rushwa.
Screenshot_2016-09-30-10-34-50.png
IMG_20160930_103530.jpeg
 
1962 - Frank Rijkaard anazaliwa.

Ni mchezaji wa zamani wa Uholanzi aliyetamba akiwa na klabu ya Ac Milan na tinu ya taifa ya Uholanzi.

Baada ya kustaafu alikuja kuwa kocha wa Barcelona ambapo alitengeneza timu iliyokuja kutawala soka la Ulaya ikiwa ni pamoja na kushinda ubingwa wa ulaya mwaka 2006.
 
1977 - Roy Carroll anazaliwa.

Ni kipa wa zamani wa Man Utd na timu ya taifa ya Ireland.

Anakumbukwa Man Utd alipookoa mpira uliovuka mstari kuingia golini, yeye aliurudisha mpira huo na refa hakuona akawanyima Spurs goli la ushindi na mechi ikaisha 1-1. Old Trafford katika ubora wake hapo.
 
1962 - Frank Rijkaard anazaliwa.

Ni mchezaji wa zamani wa Uholanzi aliyetamba akiwa na klabu ya Ac Milan na tinu ya taifa ya Uholanzi.

Baada ya kustaafu alikuja kuwa kocha wa Barcelona ambapo alitengeneza timu iliyokuja kutawala soka la Ulaya ikiwa ni pamoja na kushinda ubingwa wa ulaya mwaka 2006.
IMG_20160930_104015.jpeg
Screenshot_2016-09-30-10-39-10.png
IMG_20160930_104003.jpeg

Fundi
.......
 
1962 - Frank Rijkaard anazaliwa.

Ni mchezaji wa zamani wa Uholanzi aliyetamba akiwa na klabu ya Ac Milan na tinu ya taifa ya Uholanzi.

Baada ya kustaafu alikuja kuwa kocha wa Barcelona ambapo alitengeneza timu iliyokuja kutawala soka la Ulaya ikiwa ni pamoja na kushinda ubingwa wa ulaya mwaka 2006.
Jamaa alikuwa anajua mpira
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom