MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,114
Shwari Kapuku mwenzanguFresh......vp mkwepa kodii
Shwari Kapuku mwenzanguFresh......vp mkwepa kodii
Nzuri za wewe, Kidata anakutafutaHabari za mchana Makapuku
Hahahahahaurudi ukalike bila kuquote
Naona mnazidi kukimbizaaShwari Kapuku mwenzangu
MP sacajo, baada ya bitoz kutoa tangazo kuwa anakutafuta, hatimaye umeonekanaWazima humuu.....naona mambo mengi yamenipitaa
Hahahahaha[emoji15] [emoji15] [emoji15] zimemipita kama 90pages.......si nitamaliza kesho kutwaa[emoji26] [emoji26]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nifanye hivooPiga likes page kadhaa hapo nyuma kisha lisongeshe! .....Me nakutaga pages buku naruka[emoji23]
Kikofia katika anga zakeWazima nyie?View attachment 409651
Kidata ndiyo nani mkuuNzuri za wewe, Kidata anakutafuta
Kukimbiza nini mkuuNaona mnazidi kukimbizaa
Kamishina wa TRAKidata ndiyo nani mkuu
Kale kwanza diaHellooo family!! Nimeshindwa hata ku-like nna njaa kichizi ntarudi baadae kidogo.... [emoji4]
Hahahahaha yeye huwa tunashirikiana nimeshampa mgao wakeKamishina wa TRA
[emoji4] [emoji124]Kale kwanza dia
Health comes first
[emoji12] swali nnalipenda kuulizwa "umenipendea nini?"View attachment 409671
Tuanzie hapa kwanza
Nikuulize kitu?View attachment 409671
Tuanzie hapa kwanza