jay john
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 429
- 252
asaante nimekaribia mkuuAcha ukware ndugu
Karibu ukapukuni
.......
asaante nimekaribia mkuuAcha ukware ndugu
Karibu ukapukuni
.......
Alikuwa anaklemu hahahahahalipumba alikuwa anaelewaje darasani huyu mzeee??
Miss you more kaka akeJimena miss you badly my sissy
Asante kwa Magazeti Kapuku mwenzetuView attachment 409513View attachment 409515View attachment 409516
Asanteni sana kwa kuwa pamoja nami
Kwa hisani ya wa kimataifa nawatakia weekend njema ila msilewe sana Leo. T G I F
Naitwa Jimena Jimenes
Ciao
Thanks for newspaper JJView attachment 409513View attachment 409515View attachment 409516
Asanteni sana kwa kuwa pamoja nami
Kwa hisani ya wa kimataifa nawatakia weekend njema ila msilewe sana Leo. T G I F
Naitwa Jimena Jimenes
Ciao
Ruksa kuyaleta, nna chanzo cha haya magazeti
Kuwa Profesa nchi hii ni kuwa mtumwa hahahahahaAiseee pro-pesa kakatisha tamaa sana waliokuwa wakitamani kuitwa profesa.
Muhimu "sapoti" tuasaante nimekaribia mkuu
Pamoja sanaAsante kwa Magazeti Kapuku mwenzetu
WelcomeThanks for newspaper JJ
basi mororoRuksa kuyaleta, nna chanzo cha haya magazeti
Hivyo magazeti nnayopost hutoka hapo ukiona limekosekana na wewe unalo be free
Hahahahaha![]()
Namtafuta Afande Sajo
MP wa Lugalo
![]()
![]()
...........
gazeti la chama hiloUHURU-Pato la Taifa lapaa
Hivi hawa waandishi wa hili gazeti wanaishi wapi? Hospital hazina dawa, halafu unasema nchi ina pato kubwa zinaenda wapi?.....this is nonsense
Kumbuka Wana miezi 7 hawajalipwa mishaharaUHURU-Pato la Taifa lapaa
Hivi hawa waandishi wa hili gazeti wanaishi wapi? Hospital hazina dawa, halafu unasema nchi ina pato kubwa zinaenda wapi?.....this is nonsense
We mkongo kiswahili kwako kigumuUHURU-Pato la Taifa lapaa
Hivi hawa waandishi wa hili gazeti wanaishi wapi? Hospital hazina dawa, halafu unasema nchi ina pato kubwa zinaenda wapi?.....this is nonsense
Hahahahaha Propesa anaburuzwa
Am kamingiWelcome