Mhh! hii haikupangwa kweli??7.wote waliuwa siku ya ijumaa,na wote walipigwa risasi kichwani.
8.katibu mkuu wa lincoln aliitwa KENNEDY.
na katibu mkuu wa kennedy aliitwa LINCOLN.
9.wote walikuwa na makamu wa rais mwenye jina moja,JOHNSON.
kwa kuwa Bitoz ameleta picha basi tukutane kesho
The Book wa Makapuku kwa msaada wa mtandao.
Sipendag ujinga on fleek.. [emoji108] [emoji108] [emoji108]*```Kijana mmoja alikuwa amekaa katika siti ya Basi pembeni ya Mzee mmoja akila chokleti wakati wakisubiri kuanza safari, alipomaliza akanunua chokleti ingine akaanza kula, yule Mzee wa pembeni yake akamwambia kijana "Unajua kama Chokleti zitaozesha meno yako?, yule kijana akajibu " Babu yangu aliishi miaka 140", Yule Mzee akastaajabu na kuuliza tena,"Je babu yako nae alikuwa akila sana chokleti?", kijana akajibu "Alikuwa hafuatiliii maisha ya wengine"```* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sipendi ujinga mimi[emoji125][emoji122]
[emoji85] Maybe dk. Kigwa[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Unamaanisha dr Love? [emoji4][emoji38][emoji38]
inapangwa tena kiuchawiMhh! hii haikupangwa kweli??
Kwema kabisa, vp pande hizoNi poa sana ankali, kwema?
Nina wasiwasi huo..Mhh! hii haikupangwa kweli??
Oyaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shululu kwenye ubora wake 114kEnzi zake sasa, ila Ac Milan ya wakati huo itachukua muda kupata timu kama hiyo tena
Alikuwa motoSana, kama uzee tu yuko hivyo, je ujana wake alikiwaje
Inaadhimishwaje hii ditecta?Leo ni siku ya Moyo duniani.
pa1Thank you kapuku
Asante, hata sijajua mpaka nimerudi kuangaliaShululu kwenye ubora wake 114k
Anasema kwa kuutunzaInaadhimishwaje hii ditecta?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mukongo bana, sasa atajibatizaje? Itakua hayo mafuta yaliitwa hivyo kwasabu yanatumika kwenye injini ya huyo jamaaAsa diesel mafuta yalipewa jina lake au yeye baada ya kugundua hiyo injini akajibatiza???
sijajua kuhusu petrolNa kuna mtu alivumbua injini ya petrol na hivyo kupewa jina lake?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji124][emoji124][emoji124][emoji85] Maybe dk. Kigwa[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Duh! Ili iweje sasa ama ndo kutengeneza record?inapangwa tena kiuchawi
Huku fresh tu, vp huko naskia kuna kimvua flani kilipita?Kwema kabisa, vp pande hizo
Hawa kwa kutengeneza tu record si ajabu ukakuta imepangwa kabisa, kwema lakini home boi?Nina wasiwasi huo..