Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Aisee Arsenal ina rekodi mbaya nayeMsimu wa 2014 /2015 katika mechi 14 alizochezesha za arsenal, arsenal ilishinda mechi 1,droo 3 11 kufungwa na red card 6
Aisee Arsenal ina rekodi mbaya nayeMsimu wa 2014 /2015 katika mechi 14 alizochezesha za arsenal, arsenal ilishinda mechi 1,droo 3 11 kufungwa na red card 6
Majukumuoya mmepotelea wapi??
okay waite wajeMajukumu
Game nzuri sana hiiBayern vs Atletiço Madrid
man city wamekoma
Wamesharudishaman city wamekoma
Hapana, mwili wake una sumakunadhani alitoka kwa sangoma
Huyo SIO chameleon???(sio yule wa Uganda)
Sifa zote mnipe mimi wakala wake

We kweli wa juzi..mie wa juzi tuu labda ilikuwa enzi zenu
Naona hapa sijaelewa hapa..3.DUNIA MBILI(TWO WORLDS),USAView attachment 408405
loading 4.....
Hatufai hata kidogo.. N simoend hata kumskia..Aisee Arsenal ina rekodi mbaya naye