Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Now umefanya vizuri kuleta mojamojanadhani alitoka kwa sangoma
Inapendeza sana
........
Now umefanya vizuri kuleta mojamojanadhani alitoka kwa sangoma
Hahahahaha mpaka kwa wazungu kuna mambo hayo?nadhani alitoka kwa sangoma
ngoja nimalizieNow umefanya vizuri kuleta mojamoja
Inapendeza sana
........
yapoHahahahaha mpaka kwa wazungu kuna mambo hayo?
Sio JVCHii msimu gani wadhamin walikuwa dreamcast.. Nilizoea fadesa
Acha uongo mkuuyapo
heee hehAcha uongo mkuu
Mmmmh huu sasa ni uchafuzi wa mazingira hahahahaha3.Rekodi ya kupiga mswaki yawekwa huko Phillipines;wanafunzi wapatao 18,000 waweka rekodi ya kupiga mswaki kwa pamoja katika jiji la manila.View attachment 408383
..loading namba 4
Aisee huyu nadhani alitakiwa kuwa paka labda Mungu alikosea hahahahaha4.Rekodi ya nywele za masikioni;Anthony Victor wa india aliweka rekodi ya binadam mwenye nywele ndefu masikioni,inchi 7.
View attachment 408389
..loading namba 5
We unaongelea arsenal,Sio JVC
Maajabu yanaendelea...4.Rekodi ya nywele za masikioni;Anthony Victor wa india aliweka rekodi ya binadam mwenye nywele ndefu masikioni,inchi 7.
View attachment 408389
..loading namba 5
mie wa juzi tuu labda ilikuwa enzi zenuMaajabu yanaendelea...
Hiv ni radio station gani kulikuwa na msemo huo!!?
Ina maana wewe ni Kijana, wacha ujanjaujanjamie wa juzi tuu labda ilikuwa enzi zenu
Sijui jinsi ya Ku PM hahahahahami mtoto mbona,ebu niPM
kwi kwiii nimemaliza kidato cha nne last year,kokotoa miaka sasaSijui jinsi ya Ku PM hahahahaha
Kumbe wewe umenizidi umri, inabidi niwe nakuita kaka hahahahahakwi kwiii nimemaliza kidato cha nne last year,kokotoa miaka sasa