makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,969
- 104,390
Roy makaay
Roy makaay
Alifunga gori zuri sana, mpaka leo gori lake haijawahi kuvunjwa na mchezaji yoyote yule wa UingerezaAlifanya upuuzi
Michael Owen alitupia ausiyo halafu wakafa kwa penalti
.........
Humu ni kama whatsappNi kweli mkuu
Hii deportivo hawataioata tena.. Ikapotea katikati hapo na daraja wakashukaHuyo ni Roy Makaay...Deportivo La Coruna hapo, hiyo Depo ilikuwa hatari sana kulikuwepo na akina Walter Pandiani, Diego Tristan na wengneo...
Walipigwa 4-1 na Ac Milan kwenye Uefa, wakenda kumuua Ac Milan palepale kwao San Siro 4-0.
Nakumbuka sana, lakini baadaye aligeuka kuwa shujaa waoSasa rafu gani ya kipuuzi ile?
Tafuta video uangalie
Kumbuka kucheza pungufu ni gharama
.........
Alitumia gundi?REKODI za KIPUUZI zilizopo kwenye kitabu cha "GUINNES"
1.Mtu aliyeweka vijiko vingi zaidi mwilini mwake kwa wakati mmoja.tarehe 28 disemba 2013,Etibar Elchiyew aliweka rekodi hiyo.View attachment 408375
...loading namba 2
Waingereza nao nongwa
hapanaAlitumia gundi?
Roy makaayRoy makaay
Hii msimu gani wadhamin walikuwa dreamcast.. Nilizoea fadesa
Alitumia bangili ya sumaku mwilini hebu elezea vizuri mkuuhapana
Nenda GoogleHii msimu gani wadhamin walikuwa dreamcast.. Nilizoea fadesa
Kweli rekodi za kipuuzi2.Mwanamke aliyeolewa mara nyingi duniani;Linda Taylor wa marekani amevunja rekodi ya kuolewa mara nyingi,ameolewa kwa ndoa mara 23.View attachment 408379
..loading namba 3
Vizuri sana mkuuRoy makaay
Castian Junker
E Elbert
Unawakumbuka vizuri?
nadhani alitoka kwa sangomaAlitumia bangili ya sumaku mwilini hebu elezea vizuri mkuu
Huyu usikute anapenda kufyatuana2.Mwanamke aliyeolewa mara nyingi duniani;Linda Taylor wa marekani amevunja rekodi ya kuolewa mara nyingi,ameolewa kwa ndoa mara 23.View attachment 408379
..loading namba 3
kwelii kabisaKweli rekodi za kipuuzi
![]()
![]()
.......
haa haaHuyu usikute anapenda kufyatuana