Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
we MKWEPA KODI lazima una miaka 25>>>>Kumbe wewe umenizidi umri, inabidi niwe nakuita kaka hahahahaha
we MKWEPA KODI lazima una miaka 25>>>>Kumbe wewe umenizidi umri, inabidi niwe nakuita kaka hahahahaha
OkWe unaongelea arsenal,
Tulikuwa tunaizungumzia deportivo

ahsante sanaaaaaa
Karibu sana Patience 123, unapotea sana
Asante mkuu ila huyo The Book ni mjanja sana, ukipata historia yake alivyoturubuni mpaka tukampokea utacheka sana ni kama ile hadithi ya Sungura kumpa Simba asali na Kumfunga kamba halafu kuoga bure
Nina miaka 18 hahahahahawe MKWEPA KODI lazima una miaka 25>>>>
ebu tujadili hizo picha,umeipenda ipi??Nina miaka 18 hahahahaha
Zote mkuu hahahahahaebu tujadili hizo picha,umeipenda ipi??
umenisahau, na mimi pia ni mgenioya mmepotelea wapi??umenisahau, na mimi pia ni mgeni
Humu humuoya mmepotelea wapi??
hamuonekani kabithaHumu humu
ndo maana nanusa harufuuuuuu mpyaNapita tu
hahaha...Kipara kilimponza
![]()
![]()
![]()
.......
Nafikiri ilikuwa hivyo!Alifanya upuuzi
Michael Owen alitupia ausiyo halafu wakafa kwa penalti
.........
Ilivuma kama Super depo. Jamaa siku hizi wamepotea.Hii deportivo hawataioata tena.. Ikapotea katikati hapo na daraja wakashuka