Huyo ni Roy Makaay...Deportivo La Coruna hapo, hiyo Depo ilikuwa hatari sana kulikuwepo na akina Walter Pandiani, Diego Tristan na wengneo...
YapWorld cup 1998
Alilaumiwa sana na Waingereza
Namuona Juan Sebastian Veron...kiungo matata sana aliyeshindwa kung'aa OT.
Teke alilorusha lilimgharimu
Huyo ni Roy Makaay...Deportivo La Coruna hapo, hiyo Depo ilikuwa hatari sana kulikuwepo na akina Walter Pandiani, Diego Tristan na wengneo...
Walipigwa 4-1 na Ac Milan kwenye Uefa, wakenda kumuua Ac Milan palepale kwao San Siro 4-0.
Ila waingereza wanapenda sana kulaumu, hiyo ndiyo kasumba yaoAlilaumiwa sana na Waingereza
Alifanya upuuziAlilaumiwa sana na Waingereza
Kipara kilimponzaNamuona Juan Sebastian Veron...kiungo matata sana aliyeshindwa kung'aa OT.
Sasa rafu gani ya kipuuzi ile?Ila waingereza wanapenda sana kulaumu, hiyo ndiyo kasumba yao
Ni kweli mkuuAsante mkuu, ujue ukikaa muda mrefu ukarudi unakuwa kama mpya, ndio maana kuna jamaa wiki iliyopita aliuliza "humu ndani mnachangia maada gani au ni kukurupuka tu"
Siyo kulaumu wanapenda kukosoaIla waingereza wanapenda sana kulaumu, hiyo ndiyo kasumba yao