Waingereza waliifanya kenya kama makao makuu yao hapa East Africa,hivyo wazungu wengi walikaa pale,walipoondoka waliacha kenya imara and the same to south africaMie sio mtu wa uchumi, ila naona bongo walizingua, hakuna sababu za economic background wala nin..
Tusiwe wepesi kuhukumu haswa kama hatujui behind the sceneNadhani niliropoka maana Michael hajawahi kuchuja kiukweli, ila niliongelea ile dhana ya kujibadili uhalisia wa Mwili.
Wasubiri vipigo tuu..Ya mwaka huu ni chovu sana
Oky, why bongo tumeporomoka!!?Kenya kulikuwa na ma settlers ko lazma wawe juu
Mnafk huyu.. Kanitafunia my wife ndio anajidai kunikubali.. Ananipulizia tuu hapa..Wacha wee...hongereni kwa kukubaliana
Nimerudi tena Mamacita jana nilijipa break kidogo.Pacha
Hatimae umeonekana
Jirani una vimaneno weye...Morning, jirani Vibaya hivyo,
Tangu kaja makaveli hata hatujuliani hali
Hakuna maisha yasiyokuwa na historiaHapo ndio miyeyusho kwetu sote.. Nakumbuka form 6 niko azania pale napiga PCM nikampa mimba binti mmoja yuko chuo.. Ndugu yangu nilitaman dunia ipasuke nidumbukie ndani.. Sio kwa shida nilizokuwa nakumbana nazo..
Uzur siku zinapita na matatzo pia yatapiata
Raha gani labda kwa mfano...Mkushi wa Kusi?Anawakosesha raha
Tatzo sio kenya kuachwa imara.. Swali ni kwanini sisi tumerudi chini kutoka pale tulipoachiwa.. Miaka kama 18 hv au 20 tulikuwa na uchumi mzur tu baada ya uhuru..Waingereza waliifanya kenya kama makao makuu yao hapa East Africa,hivyo wazungu wengi walikaa pale,walipoondoka waliacha kenya imara and the same to south africa
Haya buanaHahaa... Anamalzia uchov wa vipigo vya kikubwa..
Kumshukuru ni Muhimu.Niko poa kabisa, namshukuru aliyeniumba..
Kweli mkuu.. I gt histry ya kufundishia na kuonyea kizaz kijacho..Hakuna maisha yasiyokuwa na historia
Bongo walikuja waarabu wakatuachia tende tu na waharabu koko wao.....Shabaaaash!!Waingereza waliifanya kenya kama makao makuu yao hapa East Africa,hivyo wazungu wengi walikaa pale,walipoondoka waliacha kenya imara and the same to south africa
Sorry sis.Tusiwe wepesi kuhukumu haswa kama hatujui behind the scene
Hajanitafuna luv ondoa shaka.Mnafk huyu.. Kanitafunia my wife ndio anajidai kunikubali.. Ananipulizia tuu hapa..
Sahihi kabisa.. We r nothng bila yeye..Kumshukuru ni Muhimu.
haa hah haaaBongo walikuja waarabu wakatuachia tende tu na waharabu koko wao.....Shabaaaash!!
Bongo walijaa wanyonyaji tu...wametuachia mapango ya kumbukumbu japo sio mbaya kwa Tourism...Sasa hayo majumba chakavu ambayo serikali yetu baadhi inayafanya ofisi. ShameKenya kulikuwa na ma settlers ko lazma wawe juu
BwahahaaaaaaaaaaHahaa... Anamalzia uchov wa vipigo vya kikubwa..