TAHADHARI KWAKO WEWE NA HII HABARI ILOYO FIKA HIVI PUNDE.
TAFADHARI SOMA KWA MAKINI NA MJULISHE MWENZIO
Jana katika sehemu ya kuifaizia wanyama DAR ES SALAAM ZOO ilitangazwa kuwa ametokea nyoka..
Hatari sana Ambaye hajawahi kutokea duniani. wanadai kwamba nyoka huyo anaongezeka
Urefu wa 1.5sm kila akila chakula na huwa anakula chakula kuanzia sekunde 20 kurudi nyuma.
mpaka sasa hakuna siraha ya kuweza kumua nyoka huyo isipokuwa akijiumaa mwenyewe ndo anaweza kufa.
Wanasayasi hao walieeleza japo uchunguzi zaid bado Unaendelea........
Huyu ninyoka anayeua kuliko nyoka wote waliowah kutokea huyu hupatikana katika simu
Pekee za nokia toch katika sehemu ya game inaitwa Sneke senzia.....
Asante kwa umakini mkubwa katika usomaji wa taarifa muhimu!!!!!!!!

