Story ni muda ambao hatuna segment/kitu cha kujadiliKweli.. Nilikuwa naleta lyrics watu wanapiga soga tu.. Mtu unaacha tu, ila tungekuwa systematically, haichoshi kila siku vtu vpya, sasa kuleta stori uchwara sometime miyeyusho inaboa.
inahusu MakapukuHodi Waungwana, Kila nikiingia JamiiForum naona "Makapuku Forum" Sijajua hii inahusu nini...? Msaada Wapendwa, nimeona leo niingia mnijuze.....
Thanks in Advance.
Morning JJ.....me bado sijanywaaMorning all
Mshakunywa chai lakini??
Pandeni panga boiBajaj hapana aisee
Bora fastjet
Haaaahaaaa kikofia umepatwaJina mojawapo ni lako
Google wabaya sana
.......
Morning shululuKumekucha na makucha yake kila mtu na kichaa chake, kukwepa kodi haya, kufundisha haya, kutetea wauaji mahakamani haya
Morning mkwepa kodiMoningi Makapuku wote
Poa jirani, pole na uchovu na hili joto la darMorng, vip jomba!!?
hadi mdogo wake pia Reginard Kenedy pia aliuawa wakati anagombea urais wa marekaniView attachment 407590
JFK alikuwa na nuksi sana
Huyu ndo Rais mwenye mikosi kuliko wote USA
Alifiwa hadi na kichanga chake Ikulu
Makapuku sio watu wa mchezoMkuu tayari umekuwa JF expert member, hongera sana
Anayeleta upupu wkt wa segment tunamchana tu kiungwanaKweli.. Nilikuwa naleta lyrics watu wanapiga soga tu.. Mtu unaacha tu, ila tungekuwa systematically, haichoshi kila siku vtu vpya, sasa kuleta stori uchwara sometime miyeyusho inaboa.
Ni saa 7 usiku mwendesha bodaboda anamalizia kuvuta bangi. Anaingia bafuni na kujimwagia kopo la kwanza na la pili, anashtuka na kuanza kupiga makelele na kutoka nje akidai bafuni kuna majini. Watu wanakuja wanamkuta uchi. Wanamuuliza kulikoni, anasema kila akijimwagia maji kichwani nywele hazilowi. lazima bafuni kuna majini. kumwangalia vizuri kichwani kumbe kavaa HELMET..!!!
Hiyo hiyoNi ipi iko sawa hapa;
Cash money brothers
Cash money billionaires
The Curse Family Clanhadi mdogo wake pia Reginard Kenedy pia aliuawa wakati anagombea urais wa marekani
exactlyThe Curse Family Clan
..........