EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Imefanyaje?hii mvua hii
Imefanyaje?hii mvua hii
Kesha disco mbonaa!!eti anadai hana namba yangu ya wozap money ili anishawishie huko.OK Very interesting...wacha nifuatilie mpaka mwisho wa hii..
Mtoto haonekaniNini tena umepigwa chini?
kumbe hujajua kazi ya kushawishi ni ya eva, tafadhali nishawishi nile tundaLol..huna halafu unataka uingie kwenye kinyang'anyiro? Hilo tu ushafeli mchujo. Labda uendee kunishawishi.
Muone huruma bana anaongea kwa huruma sana asee..Kama kuna gharama zingine nitamsaidia tu ila kwa maelewano..Kesha disco mbonaa!!eti anadai hana namba yangu ya wozap money ili anishawishie huko.
Ohhh!!! Pole sana bado mida yake atajitokeza tu.Mtoto haonekani
Ni nzuri bhanaa..usinipeperushie huyu ndge tasavali.Hahahahah hizi dalili si nzuri..
Nipo mkuuHalafu leo wapi.. Nime mmiss gafla... Yoooooong?
Hahahah kumbe ni rahis sana kupigwa chini youngblood ila nadhan wako na serious relatnshp..Na Shem wangu Nahrene hawezi fanya hivyo..Nini tena umepigwa chini?
Teh teh...mwache agangamale mwenyewe...coz hata bata atalila mwenyeweeeMuone huruma bana anaongea kwa huruma sana asee..Kama kuna gharama zingine nitamsaidia tu ila kwa maelewano..
Nahrene wapiNipo mkuu
Ok wacha niendelee kuangalia tu..Ni nzuri bhanaa..usinipeperushie huyu ndge tasavali.
Asante kwa msaada jiraniNoo,mimi namlindia youngblood mali zake
Hahahaha na Mie zingine nitaongezeaMuone huruma bana anaongea kwa huruma sana asee..Kama kuna gharama zingine nitamsaidia tu ila kwa maelewano..
manuu na youngblood njooni muone jamaa anayoyafanya.Ofa ofa ofa
Kapuku amazing Na Nahrene wekeni namba ya Voda upate 200MB tarehe 31/4.
Nimemwacha apambane ndugu angu..Teh teh...mwache agangamale mwenyewe...coz hata bata atalila mwenyeweee
Kumbe wanatakiwa watushawishi....kumbe hujajua kazi ya kushawishi ni ya eva, tafadhali nishawishi nile tunda
Ni kweli kijana anatia huruma sana aisee..Halafu sound zinakata njiani mapema mno..Hahahaha na Mie zingine nitaongezea
Hhahaha,mkuu nitake radhi.Young
Hizi ni ndoto za mchana kweupe.Mhh lara1 na kapuku,.. naisubiria hii