EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Kuna mtu humu anajina gumu ka nini, mie na youngblood hatulielewi kabisa.Ni nin mbaya tena mkuu..
Kuna mtu humu anajina gumu ka nini, mie na youngblood hatulielewi kabisa.Ni nin mbaya tena mkuu..
Itabid ajitolee ufafanuzi wa jinsi yake ...Kuna mtu humu anajina gumu ka nini, mie na youngblood hatulielewi kabisa.
Umetisha mbaya Mkuu.Mimi ndo balaa yani ratio imekaa vibaya sana
Kweli kabisa.Tena aweke na kapicha.Itabid ajitolee ufafanuzi wa jinsi yake ...
Habari yetu muzuri.Habari zenu makapuku waliojitambua/wasioyumbishwa Afrika Mashariki
Yani ni sawa na mkia wa samaki alafu kichwa cha mbuzi.Umetisha mbaya Mkuu.
Ila natamani akiri kuwa ni shemale tuone atasimamia upande gani...Akitafuta patner wa kike atapata na akitafutwa yeye kama patner na mwanaume atakubali..Kweli kabisa.Tena aweke na kapicha.
Ila natamani akiri kuwa ni shemale tuone atasimamia upande gani...Akitafuta patner wa kike atapata na akitafutwa yeye kama patner na mwanaume atakubali..
atakuwa multipurpose
Hahahaaa..... Ama kweli.Yani ni sawa na mkia wa samaki alafu kichwa cha mbuzi.
😕samahani aisee my dadaTeh..ya nini mkuu? Mm ni dada bhanaa
Wangapi walifanikiwa?Ila jana masingle boy walitisha kutongoza mpaka wake za watu humu ndani.
Kila mtu na mtongozo wake, yaani ilikuwa kasheshe.
Aisee... Ila mi sitaki kuwa shaidiMzee wa busara.
Worry not mkaka.😕samahani aisee my dada
Haya shemejilizziebettie namheshimu sana kama shemeji wangu na yeye analitambua hilo..
Ni kweli kabisa, tena kama inawezekana tumtafutie jamaa ili aweke mtongozo kwake ili tuone vile atakavyokuwa.Itabid ajitolee ufafanuzi wa jinsi yake ...
Natamani sana maana ntamfuatilia nyendo zake mwanzo mwisho..![]()
![]()
![]()
![]()
atakuwa multipurpose
Unaondoka au umerudi!!Kapukuzz mko pouwa? Habari zyenu bana!!! Muwe na weekend njema