Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
What?Morng ndugu zangu..
Mussolini
Briz
Jonax
Werrason
Jimena
Bitoz
Nsekwa
Mkwepa kodi
Shululu
Sweetiepie
Quigley
Sacajo
N.k
😀 ndio nini?Genda Heka Limekuona😀
Unashangaa nini mama mdogo wakati wewe ni second twin yaani Ingekuwa ME ungepewa jina la doto na JJ angepewa jina la kulwaNdo nashangaa sasa
anasema atanikata mkia😀 ndio nini?
Huyu mie nashindwa kuelewa ni tatzo, sijui ndio nyota.. Yuko talentrd zaid ya cr7, naamin alishindwa kujiongeza maana kipaji chenyewe hakitoshi kama huna juhudi.1983 - Ricardo Quaresma anazaliwa.
Ni winga wa zamani wa Barcelona, Inter milan, Chelsea na Porto.
Wakati anakuwa alichukuliwa kama mmoja wa wachezaji mahiri watakaokuja kuwika wakikuwa.
Lakini hakuwahi kukidhi matarajio ya wengi. Yumo kundi moja na Javier Saviola, Pablo Aimar na wengineo walioshindwa kung'aa ukubwani baada ya kung'aa udogoni.
Hapa tulikuwa hatubishani bali tunaelekezana.Wala siwezagi tu dialogue za kubishana so nimekubali tu yaishe.
Pole.. Mwambie babu yako akupigie manyanga..Endelea kumuweka picha..mi niliibiwa simu niliyokuwa natambia
Now nina kimeo kinadumbua picha
................
Kuwa twins haina maana mmelingana umriTunalingana sisi ni Twins
Ni kweliHapa tulikuwa hatubishani bali tunaelekezana.
Hivi kuna maendeleo yoyote yanayokuja bila ubishi?
Mzee wa rabona, huku walikibatiza jina..Jamaa namkumbuka EURO mwaka huu aliwaua watu sijui nusu final
........
Mtoto wa kiume lazima uwe na jicho kali la kugundua vimwana na mbinu kali za kuwakamata.. Hapo ndio unaelekea kuukamilisha ukidume.Ila Mandela alikuwa anajua sana kuchagua maana vifaa vyake ni shida, hata Graca Machel Mandela nae ni mrembo
Happy birthday Winnie
Kuacha pombe maana yake nipo kaburiniHeee kumbe hadi hela ipungue ndio utaaacha?
Ni kweli
ok, nafunga mjadalaHatari.. Ana phantoom 3Ila chura sasa