Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
ndo mimi Genda HekaNyie ni mapachaView attachment 406967
ndo mimi Genda HekaNyie ni mapachaView attachment 406967
Ona popoma mwingine huyu https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17792352We nae kikofia ni king'ang'anizi
Genda Heka Limekuona😀Ona popoma mwingine huyu https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17792352
Yani nchi ya viwanda kwa namna hii haitokaa ifike kamwe
Ona popoma mwingine huyu hapa https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17792352[emoji106] [emoji106] [emoji106]
...............
Unashangaa nini mama mdogoHeeee![emoji23][emoji23]
Pita haraka kabla hawajakukata mkia..Genda Heka linapita
Haya bhaanaOna popoma mwingine huyu https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17792352
Yani nchi ya viwanda kwa namna hii haitokaa ifike kamwe
Wabongo mtu akijitambua tu anaambiwa ni freemasonJe na mm nkiamua kuchora alama ya pyramid kwenye paji langu la uso.
Je itadhibitisha pia mm ni mjenzi huru?
Uchochezi tuWabunge wa yanga waifunga Simba?, hii ni kali
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Bitoz niwie radhi nashindwa ku upload picha zaidi..nimeishiwa MB
AmenAsante mama yangu ubarikiwe sana kwa kutupa mkate wetu wa leo
Pole sanaSiyo mbaya ht kesho unaweza kumsaidia Mzee wa historia...Mimi simu niliyokuwa natumia kuleta picha + live updates vibaka wamebeba
Hii ninayotumia nabahatishabahatisha tu ishu za picha
..............
[emoji53] Hivi unanitafutia nini ww..?Genda Heka Limekuona😀
Wakina nani?genda heka linawaonaPita haraka kabla hawajakukata mkia
Hahahaa nacheka unavyomuita Jimena mama na mimi mama mdogo!Unashangaa nini mama mdogo
Aisee wanafanana sana isipokuwa huyu Genda Heka watamkata mkia muda si mrefuNyie ni mapachaView attachment 406967
#3???Genda Heka Halirudi nyuma hovyohovyo[emoji53] Hivi unanitafutia nini ww..?
Nitakukata makofi ohoo!
Haya kasome post #3 uje kuchangia hapa.. eboooo!
[emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37]
Genda Heka LimekuonaAisee wanafanana sana isipokuwa huyu Genda Heka watamkata mkia muda si mrefu
Ndo mana maendeleo kwetu yanaenda kama hatua za mlevi vile..Wabongo mtu akijitambua tu anaambiwa ni freemason
Nashukuru maana mdogo maana hela za kunywea zimeanza kupunguaMwanangu upunguze pombe sasa...jana usiku nimeomba sana kwa ajili yako.