Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,652
- 25,849
Aaaah hapo nimekuelewaçunado ni shemeji
Wakati sie ni twinsHahahaa nacheka unavyomuita Jimena mama na mimi mama mdogo!
Achana na lichawi hiloAisee wanafanana sana isipokuwa huyu Genda Heka watamkata mkia muda si mrefu
Kweli kabisa tena wa ngazi ya PhDOna popoma mwingine huyu https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17792352
Yani nchi ya viwanda kwa namna hii haitokaa ifike kamwe
Na siku hizi ntakuwa sikupi pesa ya matumiZi, maana ulev wako ni three April imepiliza mpaka two march(too much) shenzi we.Nashukuru maana mdogo maana hela za kunywea zimeanza kupungua
Kweli kabisa tena wa ngazi ya PhD
Eti jana usiku linanitishia kuwa yy ni moderator hvyo atanipiga Ban!Wewe ni mdogo kwa JJHahahaa nacheka unavyomuita Jimena mama na mimi mama mdogo!
Ndo nashangaa sasaWakati sie ni twins
tena wengine 1 mbele 10 nyumaNdo mana maendeleo kwetu yanaenda kama hatua za mlevi vile..
Yani mbili mbele tatu nyuma
![]()
![]()
![]()
Tunalingana sisi ni TwinsWewe ni mdogo kwa JJ
Labda anawaogopa Freemasonsnaona umesalimu amri
![]()
![]()
![]()
![]()
he heee hehNa siku hizi ntakuwa sikupi pesa ya matumiZi, maana ulev wako ni three April imepiliza mpaka two march(too much) shenzi we.
Kama hatua za Mkwepa kodiNdo mana maendeleo kwetu yanaenda kama hatua za mlevi vile..
Yani mbili mbele tatu nyuma
![]()
![]()
![]()

Heee kumbe hadi hela ipungue ndio utaaacha?Nashukuru maana mdogo maana hela za kunywea zimeanza kupungua
Wewe ni first twin, yaani mgekuwa wa kiume ni kulwa na dotoWakati sie ni twins
Huyu anaishi kwa mashakaLabda anawaogopa Freemasons
Wala siwezagi tu dialogue za kubishana so nimekubali tu yaishe.naona umesalimu amri
![]()
![]()
![]()
![]()
Wabongo mtu akijitambua tu anaambiwa ni freemason
