Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,234
- 68,269
1960 - Huko Chicago, Mdahalo wa kwanza wa wagombea Urais wa Marekani kati ya Richard Nixon na John F. Kennedy wafanyika na kuwa mdahalo wa kwanza kuonyeshwa live na Televisheni.
1933 - Mhalifu maarufu Machine Gun Kelly anajisalimisha kwa Makachero wa FBI na baadae kuhukumiwa kifungo cha maisha jela.
Yeye na genge lake la kihalifu waliwahi kumteka tajiri wa mafuta na kulazimisha wapewe dola laki mbili ili wamuachie.
Thanks for newspaperz JimenaView attachment 406906View attachment 406907
Kwa hisani ya Pogba sina budi kukufanya kila kilicho changu na kumpisha Mussolin5 a k a bepari aje atupe historia
Muwe na wiki njema
Nawapenda wote
BwahahahahahaaaaaI swear nilivyoingia humu nilijua wewe ni mdada. Ila badae kufuatilia chatting ndio nikagundua sio.

1960 - Huko Chicago, Mdahalo wa kwanza wa wagombea Urais wa Marekani kati ya Richard Nixon na John F. Kennedy wafanyika na kuwa mdahalo wa kwanza kuonyeshwa live na Televisheni.
Murembo....1981 - Christina Milian anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.
Jamani akaamua kujisalimisha mwenyewe1933 - Mhalifu maarufu Machine Gun Kelly anajisalimisha kwa Makachero wa FBI na baadae kuhukumiwa kifungo cha maisha jela.
Yeye na genge lake la kihalifu waliwahi kumteka tajiri wa mafuta na kulazimisha wapewe dola laki mbili ili wamuachie.
KaribuAhsante Iron Lady, ngoja niwaletee leo katika historia kwa udhamini mnono wa Stand United a.k.a Chama la wana.
Ndio maana naskia tayari kuna fekiLeo katika historia ORIJINO

Endelea kumuweka picha..mi niliibiwa simu niliyokuwa natambiaNdio maana naskia tayari kuna feki![]()
NimekuPMLeo Katija Historia:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Stand United ambao ni Chama la wana na hawajaniangusha kwani walisepa na kijiji chote cha Jangwani.
Tukutane kesho.
Bye!!