Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,234
- 68,271
Nimekusoma mkuuNimekuPM
.................
Nimekusoma mkuuNimekuPM
.................
Chama la wanaKwa hisani ya stand United
Sasa hiyo pyramid iko wapi hapo, zaidi ya kujichorea tuPyramid ni sign ya illuminati.
Kwa raha zake au mnakonda???Asante sana Ankali JJ, ila pogba mpumzishe naye apumue
Huku kwetu, mwaka jana Monduli na Chato waligoma kwenye mdahalo.
HazeekiMurembo....View attachment 406929View attachment 406930 Sana.
Kabinti kazuri sana haka, kanafaa sana kwa kufyatuanaMurembo....View attachment 406929View attachment 406930 Sana.
Hivi bado yupo hai??1933 - Mhalifu maarufu Machine Gun Kelly anajisalimisha kwa Makachero wa FBI na baadae kuhukumiwa kifungo cha maisha jela.
Yeye na genge lake la kihalifu waliwahi kumteka tajiri wa mafuta na kulazimisha wapewe dola laki mbili ili wamuachie.
Ulifanyika msako mkali sanaJamani akaamua kujisalimisha mwenyewe
Bongoland kila kitu Polifix......Huku kwetu, mwaka jana Monduli na Chato waligoma kwenye mdahalo.
Wazee wa kuhisihisiSasa hiyo pyramid iko wapi hapo, zaidi ya kujichorea tu
AmeshavutaHivi bado yupo hai??
I swear nilivyoingia humu nilijua wewe ni mdada. Ila badae kufuatilia chatting ndio nikagundua sio.

Jamaa namkumbuka EURO mwaka huu aliwaua watu sijui nusu final1983 - Ricardo Quaresma anazaliwa.
Ni winga wa zamani wa Barcelona, Inter milan, Chelsea na Porto.
Wakati anakuwa alichukuliwa kama mmoja wa wachezaji mahiri watakaokuja kuwika wakikuwa.
Lakini hakuwahi kukidhi matarajio ya wengi. Yumo kundi moja na Javier Saviola, Pablo Aimar na wengineo walioshindwa kung'aa ukubwani baada ya kung'aa udogoni.
Ila Mandela alikuwa anajua sana kuchagua maana vifaa vyake ni shida, hata Graca Machel Mandela nae ni mrembo1936 - Winnie Madikizela Mandela anazaliwa.
Alikuwa ni mke wa kwanza wa Nelson Mandela.
Ndoa yao ilidumu kwa miaka 38 kabla ya kuachana na Mandela kumuoa mke wa zamani wa Samora Machel, Graca Machel.
Anachukuliwa kama mama wa Taifa la Afrika ya Kusini.
Karibu shemlaThanks for newspaperz Jimena