makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,015
- 104,607
Wabongo miyeyusho..Wabongo mtu akijitambua tu anaambiwa ni freemason
Wabongo miyeyusho..Wabongo mtu akijitambua tu anaambiwa ni freemason
Nimemuona jukwaa la siasa, kila thread anayopita utamsikia genda heka linakuona![]()
![]()
Asije akawa kimpupusu..
Naona unajifanya mjanja sababu upo kwenu au sio..
umeona eehMwambie mangariba wakata mikia wapo humuAisee wanafanana sana isipokuwa huyu Genda Heka watamkata mkia muda si mrefu
Mangariba..Wakina nani?genda heka linawaona
UkereweEti jana usiku linanitishia kuwa yy ni moderator hvyo atanipiga Ban!
Cjui lichawi la wapi hili
Namna hiiAisee! Nakuona kikofia kwenye ubora wako
We nione tu, nawe unaonwa..he heee heh
Genda Heka Linakuona
Kitwanga..Kama hatua za Mkwepa kodi![]()
ahsante kwa kunionaNimemuona jukwaa la siasa, kila thread anayopita utamsikia genda heka linakuona
Nini watt, watu tumeona, joule, ampere,volt n.k
Haha hata ukipiga hela ndefu tu utaambiwa ni freemasonWabongo mtu akijitambua tu anaambiwa ni freemason
Wanakula kwa macho![]()
Ngoja niitoe wallpaper ya linyani inaboa
..........
hahaa haMangariba..
Utamsikia genda heka linakuonaMwambie mangariba wakata mikia wapo humu
Si mumpotezeeNimemuona jukwaa la siasa, kila thread anayopita utamsikia genda heka linakuona
dogo kauzu kama dagaaNamna hiiView attachment 407020
Niaje congo manMoningiiiiiiiiiiiiiiiiiii Kaveli![]()