Nin wewe, mbona uso umekushuka kama umekamatwa ugoni ukweni!!?
Hongera kwa 111kHahaa... Mbona nimebutua 111k, na bado nadnda uraian.. Afya inaruhusu..![]()
![]()
![]()
Kama ni tattoo nadhan mpaka machoni..Atakaye kuita kibisa watamcheka watu maana sio kwa kubutua huko![]()
![]()

Haha kweli kabisa, werrason na sacajo ni wanaa sana inapokuja ishu ya JimenaAu anaweza kuja na pacha wake..
Ili mradi tu asije pekee yake.. Werrason na sacajo wataleta upambe nux





Nin tena hny.. Mbona kilio cha utu uzima mpenz!!Aaaaaaah.....![]()
Jarbu kumsaidia tutampoteza bure yule mtuKweli! Kabisa
Tutaenda wote. Ntasubiria mpaka urudiHaha kweli kabisa, werrason na sacajo ni wanaa sana inapokuja ishu ya Jimena![]()
Ngoja waione hii![]()
Bitoz mpika njegere kwa mama ntilie wa kisutu sokoni..Acha kumaind we bitoz uchwara

Xpire date yake si ya leo wala kesho.. Siwez kuleta vitu expire date siku mbili itakuwa nongwa hizo.. Ila labda kuexpire kwa hamu, utakuja ichukua wakat mshawasha wake utakuwa umeshuka.. Maana haiwezekan mshind wa leo zawad apewe mwakan.. Tuzo inakuwa haina shangweAione briz hii..... Zawadi zetu tukazifate mapema zisije kuexpire my dear
Wale si washankupe..Haha kweli kabisa, werrason na sacajo ni wanaa sana inapokuja ishu ya Jimena![]()
Ngoja waione hii![]()
Asante shemlaXpire date yake si ya leo wala kesho.. Siwez kuleta vitu expire date siku mbili itakuwa nongwa hizo.. Ila labda kuexpire kwa hamu, utakuja ichukua wakat mshawasha wake utakuwa umeshuka.. Maana haiwezekan mshind wa leo zawad apewe mwakan.. Tuzo inakuwa haina shangwe
Bado yupo na hangoverMbona umesalimia then umejijibu mwenyewe hny?
Vizur..Tutaenda wote. Ntasubiria mpaka urudi
Tena neema kubwaThnx shemeji..
Naona kisafari kina neema hiki..