makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,430
- 108,441
Padri mjeshi...[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] sikweli......umesahau kuwa me ni padre mtarajiwaa
Hakuna na hata kuja atokee..
Padri mjeshi...[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] sikweli......umesahau kuwa me ni padre mtarajiwaa
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Nakuja malkia wang.. Hope msosi wa usiku tutakula pamoja leo..
Misos yote miwili[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Fresh.....naona unavizia kinyamaaNipo kamanda.. Vip wewe!!?
Dah kweli leo nyota yako inang'aa man, hii post ya 111111 niliivizia kimyakimya lakini wap [emoji15][emoji15][emoji15]... Leo kweli ni siku yako ya ubutuaji. Nakuombea tu ubutuaji mwema kwa shem wangu ukifika [emoji4][emoji4]Bitoz ukuje hukuu
Niliichek ile muv yotee.......ila sina uhakika kama ina uhusianooHebu fatlia tujue.. Sio unamtaja sikudhan tu mwajuma humuon au[emoji57] [emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji35] [emoji35] nani huyo anaeleta uchozi humuu.....nitapiga mimiKuna mtu kaning'ata sikio eti we ni mjeda fekero..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ntaenda nae Mi Çunadito usihofu.....Nataka nifanye mpango uende na sweetiepie(hii ni kwa usalama wangu) ama kama vipi unisubirie twende wote [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna upambe nux hapaaAu anaweza kuja na pacha wake..
Ili mradi tu asije pekee yake.. Werrason na sacajo wataleta upambe nux
Hiyo pia ni sawa tu sisRelax dear
Nakusubiri mpaka utakaporudi
Wakati wewe una ulevi wako mwingine...[emoji85]Ntake radhi bhana, mie sio chapombe.
Tatizo kuna watu walikuwa wanaogopa [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ilikuaga poa tu lakini
Huo ndio ukweliiSema kweli tuu..
Msema kweli mpenz wa mungu bhana..
Kumbe wimbo ni mrefu eeh?Briz na cwt"p" kwa utamu wa nyimbo tunamalzia verse ya pili
Pole dear na ufike salama inshallahPorini huku
Naona unafananisha maze runner na hiyo habariNin wewe, mbona uso umekushuka kama umekamatwa ugoni ukweni!!?
[emoji85]Hamna mkuu, c kitambo nimeondoka mji huu toka kipindi kile.. Sasa sijapata kula nae pamoja..
Asinipe atampa nani wa kumshibisha kama mimi..[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ushawah kukamatwa nnNin wewe, mbona uso umekushuka kama umekamatwa ugoni ukweni!!?
Nimecheka mpenzi sijalia[emoji16]Nin tena hny.. Mbona kilio cha utu uzima mpenz!!
Tatizo nyie hamtutakii memaaHaha kweli kabisa, werrason na sacajo ni wanaa sana inapokuja ishu ya Jimena [emoji4][emoji4]
Ngoja waione hii [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]