makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,989
- 104,472
Unaona mimi ndezi nikae nawinda.. Vtu vinakuja automatikali.. Watu na bahati zetu bhanaAmeiwinda simchezoo![]()
![]()
![]()
Unaona mimi ndezi nikae nawinda.. Vtu vinakuja automatikali.. Watu na bahati zetu bhanaAmeiwinda simchezoo![]()
![]()
![]()
Relax dearNataka nifanye mpango uende na sweetiepie(hii ni kwa usalama wangu) ama kama vipi unisubirie twende wote![]()
Ntake radhi bhana, mie sio chapombe.Bado yupo na hangover
Alikuepo pekeake nadhani, ilikua ni kama kumsukuma mlevi vileAmeiwinda simchezoo![]()
![]()
![]()

Imevuuka kwenye u"neema" nadhan inakaribia u"maria" kabisa..Tena neema kubwa

Awap ulikuwa unamendeaaDuhh.. Sikuinote hyoo.. Thnx kaka
Naona hizi k,![]()
![]()
k zinantembelea kichiz.. Kila siku nabutua k..
![]()
![]()
![]()
Poa Mai, kwenda wote ni jambo zuri zaidiRelax dear
Nakusubiri mpaka utakaporudi
Na wewe, uje ukiwa umefuta mikamasi yako.. Usije kitutapisha bureLeo natangaza ni Siku ya mapumziko
HARUHUSIWI MTU KUCHAT
Tuonane kesho kwenye mgahawa wa Afande Sajo atatuandalia pilau la nyama ya kenge na kachumbari ya mapapai
Mroho Makaveli usisahau kubeba ndizi na parachichi mfukoni
Jomena uje na kimini chako uchwara
Dikteta hatutaki stori za historia msosini
Briz hatutaki mambo ya kuimbishaimbisha
Shululu usije na Lulu atabebwa na wakware
Kwigli utaongoza sala ya chakula
Bitterpie usije kishoboshobo tutakupa vyombo uodhe
Licongo ukija na pamba za kuazima huli
Kikofia piga puli tu ...huna ubavu wa kuimbisha
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..................
Nyama weeLeo natangaza ni Siku ya mapumziko

Ananisaka mie huyu mtotoHahah![]()
We shika adabu yako.. Utakula adhabu sasa hv..Awap ulikuwa unamendeaa

Leo natangaza ni Siku ya mapumziko
HARUHUSIWI MTU KUCHAT
Tuonane kesho kwenye mgahawa wa Afande Sajo atatuandalia pilau la nyama ya kenge na kachumbari ya mapapai
Mroho Makaveli usisahau kubeba ndizi na parachichi mfukoni
Jomena uje na kimini chako uchwara
Dikteta hatutaki stori za historia msosini
Briz hatutaki mambo ya kuimbishaimbisha
Shululu usije na Lulu atabebwa na wakware
Kwigli utaongoza sala ya chakula
Bitterpie usije kishoboshobo tutakupa vyombo uodhe
Licongo ukija na pamba za kuazima huli
Kikofia piga puli tu ...huna ubavu wa kuimbisha
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..................

duh!Alikuwa anakataliwa sana, ikabidi ambadilishe
sikweli......umesahau kuwa me ni padre mtarajiwaa