Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuna mzanzibar alishiriki vita hii kikamilifu, alikuwa ni ofisa wa JWTZ.

Alifukuzwa Tanzania kwa kashfa ya kuhusika kwake kwenye Mauaji ya Karume.

Samora Machel akamuomba apelekwe Msumbiji, Ambapo alipambana katika ushindi wa vita hivyo vya msituni, baadae alikuwa mshauri wa Rais wa Msumbiji katika masuala ya Ulinzi na hata baada ya kufa alizikwa hukohuko Msumbiji katika makaburi ya mashujaa wa nchi hiyo.

Huyo si mwingine bali Kanali Ali Mahfoudh kutoka JWTZ, mzanzibar ambaye hakuthaminiwa kwao ika akaenda kupata heshima zote nchini Msumbiji.
Heshima kwakee mwenzangu

Sent from my LG-D605 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom