![]()
![]()
![]()
Matusi ya nguoni hayo..
Ila na bitoz nae awemo, sababu hajawahi kupanda.![]()
![]()

![]()
![]()
![]()
Matusi ya nguoni hayo..
Ila na bitoz nae awemo, sababu hajawahi kupanda.![]()
![]()

MoningiGoodmorning Sweetiepie na wengine wote
Afadhali maana jana tulikosa mkate wetu wa asubuhiMorning all
Hope wote mko sawa na nafurahi mnalisongesha gurudumu kama kawaida...
Leo ndio namalizia haya majukumu hivyo kuanzia kesho ntakuwa napatikana kama kawaida
Usijali, jana nilikuwa busy mno kiasi hata hapa sikuweza kutokea.Afadhali maana jana tulikosa mkate wetu wa asubuhi
PowaUsijali, jana nilikuwa busy mno kiasi hata hapa sikuweza kutokea.
Poleni sana kwa usumbufu na mniwie radhi wote
Thank you, asubuhi njemaView attachment 405321View attachment 405322View attachment 405323
Mpaka hapo basi sina la ziada. Kumbuka tu magazeti haya yaliwajia kwa udhamini wa Makapuku forum
Miss u all
T G I F
Ciao
Asante sana Ankali JJ, sio kwa kuadimika hukoView attachment 405321View attachment 405322View attachment 405323
Mpaka hapo basi sina la ziada. Kumbuka tu magazeti haya yaliwajia kwa udhamini wa Makapuku forum
Miss u all
T G I F
Ciao