HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,669
Ngoja nijikaze kupost tu leo.. Hata nuktaMimi ndo balaa yani ratio imekaa vibaya sana
Ngoja nijikaze kupost tu leo.. Hata nuktaMimi ndo balaa yani ratio imekaa vibaya sana
Jiwe tena mkuu......bora hata ale mkono na mafuta mengi baby care!!!

Hapana mkuu,nitagharamia mwenyewe.mwambie nahrene aje nimpe tuition free kabisaaaaa![]()
![]()
Kabisa kabisa na unaweza fanya umwagiliaji wa matone kwa kutumia chupa za maji ya kilimanjaro..hata kama unakaa gorofa ya 19 unalima tuuuuu
kabisa mkuu ata apo sebuleni ni sawa tuuuuuHii si nnaweza kufanya hata kwenye haka kacorridor kangu?

Wakati namtafuta tulikuwa wote au. Wewe tetea ndoa yako kwanzaHapa kapuku tunasheaa... Braza kuwa mpole....
Lizzy sio wako peke yako....
Kapuku hatuna ubinafsi
Hahahahahaaaaaa... OyeeeeeeHabari zenu makapuku waliojitambua/wasioyumbishwa Afrika Mashariki
Ngoja nijikaze kupost tu leo.. Hata nukta
usipost nukta buawana.Shemeji mchunge sana shemeji yangu hawa watu si wazuri hata kidogo..Hapana mkuu,nitagharamia mwenyewe.
Ntafanya asee... Hyo ni simple kabisakabisa mkuu ata apo sebuleni ni sawa tuuuuu![]()
![]()
Ha haaa Mimi Nina ndoa halali kabisaa....Unajua kwenye list ya vidume waliokuwa wanaongoza kumsumbua mpenzi wangu amaizing jina lako lilikuwa la kwanza kabisa...So najua maumivu unayoyasikia ila nipo tayar tuchanganye nguvu kwa yeyote mwingine utakaye muona ila niachie kabisa my wife..
ata chupa za uhai, soda take away etcKabisa kabisa na unaweza fanya umwagiliaji wa matone kwa kutumia chupa za maji ya kilimanjaro..
Kweli shemeji humu naona mende wamejaa sana.Shemeji mchunge sana shemeji yangu hawa watu si wazuri hata kidogo..
Punguza sifuri moja![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Hahaha,prezda mizuka imempandaPunguza sifuri moja
Baby mbona chozi tena