Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Inabid ukaribia kuipata hiyo dawa adhwiimHee..!! Bangi tena?
Hamna.... Kipenzi...Ina maana humu ndani hamna kapuku singo jamani
Hamna noma T.O.DKupitiwa kawaida mkuu.....one luv
Sawa braza....peterchoka anataka apashe kiporo na mkeo. Wewe unawaza wake za watu kijana
Tetea ndoa yako braza ooh
Nipo hapa cute bIna maana humu ndani hamna kapuku singo jamani
Tatizo unachagua handsome boys weweIna maana humu ndani hamna kapuku singo jamani
peterchoka anataka apashe kiporo na mkeo. Wewe unawaza wake za watu kijana
Tetea ndoa yako braza ooh
kweli mganga hajigangi.atakuja mda sio mref nshampaaa taarifa unamtafutaHata sijui mkuu,ametoka tangu jana hajarudi!![]()
![]()
![]()
Bora ukalinda likes kuliko mke wangu.naombeni leo mimi niwe mlinzi wenu hapa Makapuku Forum.
niwalindie like pamoja na wake zenu. hivyo mimi ndo nitakuwa wa mwisho kucomment hapa
Anataka six packsTatizo unachagua handsome boys wewe
Hebu mchecki eden kimario
Acha tu jamaa atalia soon![]()
![]()
![]()
kweli mganga hajigangi.
Hata wew sio single??Hamna.... Kipenzi...
Eden kimaro yuko occupiedTatizo unachagua handsome boys wewe
Hebu mchecki eden kimario
Kijana acha kuuza ramani kwa adui....
Mimi Nina kifua kama ubao wa kamari lakini lizziebettie amenipenda hivyo hivyoAnataka six packs
Mkuu uko poa?Nipo hapa cute b
Hahaha,nimeona niwasaidie wanatia huruma.Kijana acha kuuza ramani kwa adui....