Wew manuu ulienda wapi uck Amaizing alikosa amani alilia sana nkamwambia uko prayer room!!!Hahahah mkuu lengo langu si kukuletea vita na shemeji hapana..Ila naamin utaona jinsi nilivyopamabana kummiliki haikuwa rahis na naomba uwe upande wangu kwenye kesi hii..
Kweli mkuu,alafu unalima kwa starehe.Shemeji unajua kilimo sasa kinafanywa kisasa mno yaan haitaki ukubwa wa ardhi ila ni capital na knowledge kubwa tu..
Tafuta wako uwe HuruWenzako hawaondoki wameganda humu kuwawekea ulinzi ma-honey wao we unakimbiakimbia.... Ngoja watu tukupige maktaim ndo ujue
![]()
kuna jamaa yangu mmoja aliwekwa dp wasap sa sijui mtandao ulizingua akashindwa kumtoa akaamua kuandika R.I.P brother w' ill miss u

Wala msipate tabu nyie fanyeni discussion ya kilimo bora tu...Tusio kuwa na ma babe humu tunapata tabu kweli... Yani ukimkosa wa kum quote basi unaanza kujiongesha peke yako
Sawa tumekusoma mkuu.Haya kuna Makapuku hawana Kazi, wanatafuta vitu, wanataka kuuza vitu, wanataka kujulikana n.k
Tembelea tovuti hii
www.tanzaniamailing.com
Tuma email
arushamailing@googlegroups.com
Huhuhu,poleni sana,Tusio kuwa na ma babe humu tunapata tabu kweli... Yani ukimkosa wa kum quote basi unaanza kujiongesha peke yako
We jamaa uliharibuuu....Wew jana ulilala mapema watu wakaanza kufukuzia chombo chako, ulinipa usumbufu wa kufukuza kunguru, hebu lete sadaka hapa
Hakuna namnaWala msipate tabu nyie fanyeni discussion ya kilimo bora tu...
Ndugu yangu na kwa jibu ulilompa likuzidishie kupata baraka kwani nilikuwa prayer room kweli nikajikuta pamekucha ..Ila asubuhi tumeonana nae tumeshaweka mambo sawa...Wew manuu ulienda wapi uck Amaizing alikosa amani alilia sana nkamwambia uko prayer room!!!
Endelea kuwakumbusha mkuu. Kuna mambo mazuri hata kama unataka house girl (si Yule mkongwe wa jf) unapataSawa tumekusoma mkuu.
Hivi we wako nani...
Unamaanisha Faiza fox!![]()
Jamani isije ikawa ni kile kibibi kisumbufu ndo kimefanyiztwa
![]()
![]()
![]()
................

Kabisa ..Kweli mkuu,alafu unalima kwa starehe.
Usjali mkuu chukua pesa yako mimi sio mchungaji wa mshaharaAsante sana.![]()
![]()
![]()
Niko poa dearNiko poa sweetie wangu vipi wewe. Napenda kukuona unafurahi mpenzi
Na usisite kuendelea kuangaza huku na huko na wakati huo ukiwapa heshima kubwa mashemeji zako hapa..Hakuna namna