manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,748
Hahahah mkuu lengo langu si kukuletea vita na shemeji hapana..Ila naamin utaona jinsi nilivyopamabana kummiliki haikuwa rahis na naomba uwe upande wangu kwenye kesi hii..Ha haaa Mimi Nina ndoa halali kabisaa....
Ila wadau hawakubali...kwanini uwapitee?
Wakaleta kesi