Makapuku Forum

Makapuku Forum

1975 - Sara Jane Moore anajaribu kumuua Rais wa Marekani, Gerald Ford kwa kutaka kumpiga risasi.

Raia mmoka aliyejulikana kama Oliver Sipple ambaye alikuwa amekaa karibu na Sara Jane anafanikiwa kumtingisha Muuaji huyo na kumuokoa Rais.

Licha ya ushujaa wake wa kumuokoa Rais, Oliver alikuwa shoga lakini haikumzuia kuingia katika vitabu vya kumbukumbu kama shujaa.
Usikute walipanga kisud, ili shoga nae aonekane wa maana katika jamii..
 
1978 - Harry Kewell anazaliwa.

Ni mchezaji wa zamani wa Leeds United na Liverpool na timu ya taifa ya Australia.

Mmoja kati ya mawinga bora wa kushoto aliyekuwa na uwezo mkubwa sana, alishinda Ubingwa wa Ulaya akiwa na Liverpool mwaka 2005.
Nilikuwa nampenda sana huyu mtuu.. Hapa yeye huku luis garcia.. Gerrard, alonso aahh.. Liver nyie mlifia wapi!!?

Ila luis garcia kwangu ndio alikuwa kipenz zaid
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom