Makapuku Forum

Makapuku Forum

1474540858454.jpg
 
```FACTS.
1.Ukiona geto lina feni, sabufa, meza ya plastic na kitanda ch sita kwa sita na Pc UJUE ni jamaa wa UDSM.

2.Ukiona Gheto lina tails,kabati kali,meza kali,funguo za gar,taa ya kusomea,laptop,shelf ya viatu na kifriji cha kishkaji UJUE huyu jamaa ni wa IFM.

2. Ukaona geto lina nguo nyingi za watu tofauti tofauti, unga mwingi, vtunguu vng, nyanya halaf pembeni, Vitabu vya kutosha na lundo la karatasi za betting ujue huyu JAMAA ni wa SAUT.

3. Ukaona geto halina kitu ndani zaidi ya mkate wa bakheresa na kopo la maji UJUE huyu jamaa ni wa UDOM

4. Ukaona geto lina visamaki vikavu mezani, Notes za kutosha mezani na jaba pembeni UJUE huyu ni MJAMAA WA MWENGE/MWECAU

5. Ukaona geto lina Mawigi mengi na dressing table pembeni, ngazi ya kuwekea viatu UJUE huyu mjamaa ni wa RUCO IRINGA

6. Ukaona geto lina spray za kila aina, Nguo nyingi hasa za mitumba ambazo zimemodolewa mpaka tight UJUE huyu MJAMAA ni wa USHIRIKA MOSHI```
Model imemodolewa
 
Wife : Hallo mpenzi, mambo!

Husband : Poa baby!.

Wife : Uko wapi?

Husband : Mimi niko town napata lunch.

Wife : Wow! Unarudi saa ngapi? Nina njaa dear, nataka uniletee msosi.

Husband : Narudi baada ya nusu saa tu. Nikuletee nini?

Wife : Niletee chipsi kuku, soseji, mayai manne yakaangwe pembeni, baga, piza ya samaki waweke
mayonaize, coka take away ya baridi, mkate wa moto kwenye ile bekari ya Wapemba na maji ya kunywa chupa kubwa ya Kilimanjaro.

Husband : Umesahau viti, meza, beseni, masufuria, sahani na vijiko.

Wife :Kwa nini dear?

Husband :Naona hutaki kula, unataka kufungua hoteli!

Jamaa katisher
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom