MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,102
Mkuu umebadili avatar yaani haupendezi kabisa, umekuwa kama kapukuHata bhana endelea kuwa msindikizaji
Vitu vizuri vipo vingi
![]()
![]()
............
Mkuu umebadili avatar yaani haupendezi kabisa, umekuwa kama kapukuHata bhana endelea kuwa msindikizaji
Vitu vizuri vipo vingi
![]()
![]()
............
Sihitaji avatar ya kupendeza mimi siyo demuMkuu umebadili avatar yaani haupendezi kabisa, umekuwa kama kapuku
Jana nilienda interview nikaulizwa "What do you do for a living??"
Nikawaambia I breath in and out
Sipendi utoto Mimi!
I think kesho nareport job![]()

Leo katika Historia:
Ni siku ya 265 na zimebaki siku 100 mwaka huu uishe.
Haya tuangalie matukio yakiyojitokeza siku kama ya leo miaka iliyopita.
1955 - Huko Uingereza Chaneli ya ITV inarusha matangazo yake Live kwa mara ya kwanza.
1957 - Francois Duvalier anachaguliwa kuwa Rais wa Nchi ya Haiti.
Aisee1975 - Sara Jane Moore anajaribu kumuua Rais wa Marekani, Gerald Ford kwa kutaka kumpiga risasi.
Raia mmoka aliyejulikana kama Oliver Sipple ambaye alikuwa amekaa karibu na Sara Jane anafanikiwa kumtingisha Muuaji huyo na kumuokoa Rais.
Licha ya ushujaa wake wa kumuokoa Rais, Oliver alikuwa shoga lakini haikumzuia kuingia katika vitabu vya kumbukumbu kama shujaa.
1960 - Nchi ya Sudanese Republic yabadili jina na kujiita Mali.
Hii ni baada ya Senegal kujiondoa katika umoja wake na Nchi hiyo.
Kiungo bora kabisa, mtulivu sana1970 - Emmanuel Petit anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Arsenal, Chelsea na timu ya taifa ya Ufaransa.
Ni mshindi wa kombe la Dunia la mwaka 1998 na Euro 2000.
1975 - Sara Jane Moore anajaribu kumuua Rais wa Marekani, Gerald Ford kwa kutaka kumpiga risasi.
Raia mmoka aliyejulikana kama Oliver Sipple ambaye alikuwa amekaa karibu na Sara Jane anafanikiwa kumtingisha Muuaji huyo na kumuokoa Rais.
Licha ya ushujaa wake wa kumuokoa Rais, Oliver alikuwa shoga lakini haikumzuia kuingia katika vitabu vya kumbukumbu kama shujaa.
Sisi live (mubashara) tumeanza miaka ya hapa karibuni tu1955 - Huko Uingereza Chaneli ya ITV inarusha matangazo yake Live kwa mara ya kwanza.