Inawezekana aiseeUlikatika nchi nzima nini!!!
Hata huku tabora walikata..Inawezekana aisee
Nchi ya viwanda hii, hatari sanaHata huku tabora walikata..
Umeme tu majanga, hvyo viwanda c daily hasara tuuNchi ya viwanda hii, hatari sana
Sawakuna mtu nimemtolea uvivu leo wamenizoea [emoji35]kanikuta nimekaa zangu nimetulia
ananiuliza "mbona umekunja
sura"? nikamjibu nataka kuiweka kwenye begi
sipendi ujinga mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukauzu wa kutosha!!kuna mtu nimemtolea uvivu leo wamenizoea [emoji35]kanikuta nimekaa zangu nimetulia
ananiuliza "mbona umekunja
sura"? nikamjibu nataka kuiweka kwenye begi
sipendi ujinga mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nawe pia, msalimie huyo mpareView attachment 404584
Usingizi mkali
Sitaangalia kipindi cha pili
USIKU MWEMA
...........................
Hahahahakuna mtu nimemtolea uvivu leo wamenizoea [emoji35]kanikuta nimekaa zangu nimetulia
ananiuliza "mbona umekunja
sura"? nikamjibu nataka kuiweka kwenye begi
sipendi ujinga mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nzuri za weweHabari za asubuhi makapuku wenzangu, moningi