Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Tena ukae mbali sana....aiseee!
Weka mbali na watoto......
Tena ukae mbali sana....aiseee!
Weka mbali na watoto......
Je kuna ratiba ya Mada au kila mtu anakurupuka kivyake na alichowaza kichwani?Mkuu unakaribishwa hamna masharti zaidi ya peace n love....
Kipi hicho cha kuweka mbali na watoto?aiseee!
Weka mbali na watoto......

TwawaaaTena ukae mbali sana....

Wataona au watasikia?Tena ukae mbali sana....
Kwa kesi yako hiyo...ni kweli endapo ataonana na Bamia ila kama akikutana na kubwa zaidi yako...utagundua tu...na hiyo sehemu ni kama plastic inajirudi nakubali ila sio hapo hapo kwa siku moja baada ya tendo...uwiiiiiii Jonax usisome hii wewe ni mtotoMh! Em niambie nagunduaje ikiwa atarudi smart kama alivyoondoka? Na usisahau ile organ ni kama elastic material huwa inarudi kwenye original size baada ya tendo ama ntapimaje?![]()







sitaki hata kuendelea.Nani kamind?
Hapa tupo kiutani
Kwavile mgeni unafikiri tunagombana
......Mkuu hapa wala sikufikiri mnagombana, nilijua ni utani, hata hivyo ningejuaje we mnyakyusa? hahahah Bitoz acha zako za kibitoz bhana!
Wakati wa swaga kama huu ni full kukurupuka tu...ila mutu akiwa ameweka kipindi yake maalum...usiweke yako hadi amalize...utakachofanya ni kumpa sapoti kwa kuchangia mawazo tu.Je kuna ratiba ya Mada au kila mtu anakurupuka kivyake na alichowaza kichwani?
Kweli basi ntaitoa maana ni mimi huyo...nilienda posta mpya pale karibu na CRDB kupiga picha ya Quality ya juu nimechoka selfie na picha mpauko shemela.Usishangae sana hiyo avatar itakapokujazia pm yako![]()
![]()


Ratiba ipo mida ya asubuhi Magazeti na Leo katika historia na jioni mida flani kuuna kuwa na nukuu pia kuna dj anatudondoshea music ya back to those days na weekends kuna old iz gold kama sikosei ngoja wenzagu wajazieJe kuna ratiba ya Mada au kila mtu anakurupuka kivyake na alichowaza kichwani?
We si wakunisemea mbofu ivyoMpotezee anakuzingua tu![]()

Naomba kama hutojali unijuze hiyo Avatar yako ni nani huyo tafadhali...kuna issue nahitaji kudiscuss nae huyo ni ya muhimu sana about "life and death".Usishangae sana hiyo avatar itakapokujazia pm yako![]()
![]()
Nimecheka kweli!Je kuna ratiba ya Mada au kila mtu anakurupuka kivyake na alichowaza kichwani?
Af hiyo avatarUwiii....basi nilijua wewe ni mdada sorry nilikuwa nampigia pande kaka angu. Ye mwenyewe ni ME kama wewe

Nimekusoma sana sweetiepie, mwenyewe nlitaka kuongezea hapo lakini naona tusije tukachafua uziKwa kesi yako hiyo...ni kweli endapo ataonana na Bamia ila kama akikutana na kubwa zaidi yako...utagundua tu...na hiyo sehemu ni kama plastic inajirudi nakubali ila sio hapo hapo kwa siku moja baada ya tendo...uwiiiiiii Jonax usisome hii wewe ni mtotositaki hata kuendelea.
Wanaume poleni.Anaibiwa kabisa then anarudi kama alivyoenda anakukuta siku hiyo umechoma na michakariko unabaki kumgusagusa tu wwngine wameiba
ThanaKali eeh?!!![]()

Tu-muteNimekusoma sana sweetiepie, mwenyewe nlitaka kuongezea hapo lakini naona tusije tukachafua uzi
Jimena njoo tunywe

Badilisha avatarWanaume poleni.