makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,866
- 104,058
Kasema kasoma kuanzia kurasa za mwanzo haelewiLawama zipi...
Kasome kurasa ya mwanzo kabisa, utawaelewa makapuku..
HayaSubiri basi
Acha undezi we pimbi usiye na hayaSema kafanana na wanyakyusa
Duh.. Basi atizame tuu maana hatuna jinsi.Kasema kasoma kuanzia kurasa za mwanzo haelewi
Sasa tumweleweshe kitu gani
.............
Kesho, nshafunga kiosk changu.Weka picha
Wanyakyusa bhana, sa una-mind nini?Acha undezi we pimbi usiye na haya
![]()
![]()
![]()
...........
Post # 3 inaeleweka kiurahisi mbonaDuh.. Basi atizame tuu maana hatuna jinsi.
Nani kamind?Wanyakyusa bhana, sa una-mind nini?
Weka pichaNdiooo
Ukweli unaumaAcha undezi we pimbi usiye na haya
![]()
![]()
![]()
...........
Alikuwa hajui huyoNdiooo
HaaaahaaaaSema kafanana na wanyakyusa
Hapo sasaKasema kasoma kuanzia kurasa za mwanzo haelewi
Sasa tumweleweshe kitu gani
.............
Pimbi yeye na yeye ni ndezi piaAcha undezi we pimbi usiye na haya
![]()
![]()
![]()
...........
KapanicHaaaahaaaa
Mie simo..FIX ZA ST BITOZ:
hapo juzijuzi kulikuwa na Nyumba moja ya tajiri ambaye alikuwa na wafanyakazi 20 + vijakazi hewa maisha yalikuwa poa akawa anawalipa mishahara mdogo lakini mambo yalisonga
Sasa baada ya kufariki Nyumba ikarithiwa na mdogo wake ambaye ni bahili na mpenda sifa..akaja na Sera ya kubana matumizi na kuvisaka vijakazi hewa...akapunguza kutoka watumishi 20 hadi kuwa 7 tena bila kuajiri wapya...akakurupuka tena kwa kuwazuia wasiende nyumba za jirani
Now mkurupukaji kagundua mambo magumu pesa hakuna halafu mshahara anaowalipa hao 7 ni mkubwa kuliko wale 20 wa zamani....now anamsaka Mchawi
NB;
ni fumbo km hujaelewa kunywa togwa ulale usinisumbue
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
***********************
