Makapuku Forum

Makapuku Forum

bfa81e2e42db627ad2442fbb21ac712a.jpg
 
NUKUU NO 1#

Kuna watu hapa duniani ambao wanaishi katika njaa kali kiasi kwamba Mungu hawezi kuwatokea katika njia nyingine isipokuwa kama chakula

Maneno haya yalitamkwa na Mohandas Karamchand Gandhi (Mahatma Gandhi)
Aliyeishi Kati ya mwaka 1869 hadi mwaka 1948.

Gandhi alikuwa kiongozi wa vuguvugu la kudai uhuru wa India kutoka kwa wakoloni wa Uingereza
 
Maneno kuntu
 
NUKUU NO 2#

Katika maisha nimejifunza vitu vingi.
Nimejifunza kwamba watu watasahau mambo uliyowahi kuyasema, watasahau ulichowafanyia lakini hawatasahau ulichowafanyia namna ulivyowafanya wajisikie

Maneno haya yalisemwa na mtunzi, mshairi, mcheza muziki na mwanaharakati wa Marekani, Maya Angelou
Aliyeishi Kati ya mwaka 1928 hadi 2014
 
IMG_20160919_182555.jpeg
IMG_20160919_182606.jpeg

Masai wa kihindi
.........
 
NUKUU NO 3#

Huhitaji kuwa mkomunist ili kujua kwamba China inafanya mambo mengi ambayo Dunia inapaswa kujifunza
Hatuwezi kuacha kujifunza eti kwa sababu wao Wana mfumo tofauti wa kisiasa nasi

Maneno haya ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,
Yamenukuliwa kutoka katika kitabu cha "watu 100 muhimu Duniani" (The most important people in the world today)
Kwa mwaka 1970
 
NUKUU NO 2#

Katika maisha nimejifunza vitu vingi.
Nimejifunza kwamba watu watasahau mambo uliyowahi kuyasema, watasahau ulichowafanyia lakini hawatasahau ulichowafanyia namna ulivyowafanya wajisikie

Maneno haya yalisemwa na mtunzi, mshairi, mcheza muziki na mwanaharakati wa Marekani, Maya Angelou
Aliyeishi Kati ya mwaka 1928 hadi 2014
IMG_20160919_183038.jpeg
IMG_20160919_183012.jpeg
IMG_20160919_183027.jpeg

Respect
........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom