Makapuku Forum

Makapuku Forum

14369971_181459148953832_5631351008856251903_n.jpg
 
SWALI:

Hivi Makapuku forum ni kinyume cha Premium member forum?
Kwani hiyo Premium Member Forum ipo wapi mbona hatuijui

Hii ni thread km zingine siyo forum na ni ubunifu wa Makapuku wenyewe

Hatuwezi kuiga chochote wala thread yoyote sababu sisi tuna ubora na wabunifu
Wengine ndo watuige
............................
 
Kwani hiyo Premium Member Forum ipo wapi mbona hatuijui

Hii ni thread km zingine siyo forum na ni ubunifu wa Makapuku wenyewe hatuwezi kuiga chochote wala thread yoyote sababu sisi tuna ubora na wabunifu
Wengine ndo watuige
............................
Sawa Mkuu nimekuwa nikiuliza lengo hasa la makapuku ni nini? najibiwa nenda pg3,...ambayo inasema ni kushirikiana na kuleta umoja hapa JF na kuepuka bullers.Kwani humu kuna wanao wakandamiza wengine? ukiambiwa ueleze lengo la hii forum kwa sentesi moja tu, ungejibu vipi?
 
Usichanganywe na f ya kf, huwezi kuwa na forum ndani ya forum, hii thread tu kama zingine zilizopo chit chat, we sema tu imejijenga na members humu wanafahamiana na wameweza kushare mambo mbalimbali.
 
Sawa mkuu nimekuelewa...ebu fupisha lengo la hii thread kwa sentesi moja.
 
Sawa Mkuu nimekuwa nikiuliza lengo hasa la makapuku ni nini? najibiwa nenda pg3,...ambayo inasema ni kushirikiana na kuleta umoja hapa JF na kuepuka bullers.Kwani humu kuna wanao wakandamiza wengine? ukiambiwa ueleze lengo la hii forum kwa sentesi moja tu, ungejibu vipi?
Lengo kuu ni kukutanisha vijana wa Town kupiga soga(kijiwe)

Hayo mengine mbwembwe yasikusumbue nikipata time nitayaondoa

Kila sehemu yoyote duniani kuna matabaka kwahiyo siyo kitu cha kujadili sana sababu kipo wazi na kinajulikana
........................
 
Yeah! ni kweli, kila sehemu kuna matabaka....na nimewahi kusikia kuna wakongwe na maunderground wa JF....ni kigezo kipi kilitumika kuweka hizo tabaka? naamanisha wakongwe ni wakina nani? ni waliojiunga kwanzia 2008, 2009, 2011/12 back to 2006? au
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom