Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Kutatiza inakutatiza wewe tuMaana ya Chit-chat ni kuongea/kuandika mambo yasiyo na maana/yasiyo muhimu....ila hii thread ya Makapuku inatatiza kidogo....maana inaonekana kama sub-forum ya Chit-chat.
Ingekuwa inatatiza (utata) Moderator wangeifuta
Kuongea au thread kuwepo Chitchat haimaainishi kitu hakuna la maana
Km chitchat ni jukwaa la vitu vya ovyo basi sisi ndo linatufaa
Tushasema ni thread siyo sub forum na km vipi mwambie mod afute neno "Forum" isomeke "thread" ili mridhike(Mod wenyewe wanatukubali)
..................
Sasa huu
ulioutaja hapa juu ndo Matabaka yenyewe hayo+madharau