Makapuku Forum

Makapuku Forum

Allah Akbar

Mungu mkubwa akitaka liwe linakuwa..
Pia katika tukio hilo kuna watoto wachanga wanne waliokuja kufahamika kama " Miracle Babies " ambao walifukiwa chini kwa siku 7 bila chakula wala maji lakini wakaja kupatikana wakiwa ni wazima kabisa na afya zao zikiwa salama salmini.

Hayo ndio maajabu yaliyotokea Katika tetemeko kubwa kabisa la mwaka 1985 pale Mexico.
 
2002 - Robert Guei anafariki Dunia.

Alikuwa ni Rais wa 3 wa Ivory Coast.
IMG_20160919_101202.jpeg
IMG_20160919_101145.jpeg
IMG_20160919_101135.jpeg

RIP
...
 
Pia katika tukio hilo kuna watoto wachanga wanne waliokuja kufahamika kama " Miracle Babies " ambao walifukiwa chini kwa siku 7 bila chakula wala maji lakini wakaja kupatikana wakiwa ni wazima kabisa na afya zao zikiwa salama salmini.

Hayo ndio maajabu yaliyotokea Katika tetemeko kubwa kabisa la mwaka 1985 pale Mexico.
Aisee
 
Hivi humu huwa mnajadili nini?
Mambo mengi kwakweli
Tunajadili yafuatayo:-
1. Historia ya ndani na nje ya nchi
2. Nukuu mbalimbali wa watu mbalimbali haswaa viongozi
3. Tunachambua magazeti (healines)
4. Tunahabarishwa na Kapuku mwenzetu yale tusiyoyajua
5. Kuna burudani pia Tunaweka miziki ya kale iliyowahi kutamba sana ya nje
6. Kuna vichekesho...message za vichekesho
7. Kuna hadithi tunasoma na kuchambua
8. Kuna nyimbo kali bora na Ma DJ wetu wapo humu
9. Pia sometimes huwa tuna maigizo yetu...tunayajua wenyewe na tuna enjoy, tunafurahi.
Etc...etc Yote hayo tunayajadili tukiwa kama Family moja.
 
Pia katika tukio hilo kuna watoto wachanga wanne waliokuja kufahamika kama " Miracle Babies " ambao walifukiwa chini kwa siku 7 bila chakula wala maji lakini wakaja kupatikana wakiwa ni wazima kabisa na afya zao zikiwa salama salmini.

Hayo ndio maajabu yaliyotokea Katika tetemeko kubwa kabisa la mwaka 1985 pale Mexico.
Hhmm.. Nini tutasema zaid ya kukubali utukufubwa aliyetuumba.

Haya ni maajabu yaliyopitiliza..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom