Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,256
Pamoja Kubwa Lao.Naenda kuzurura
Tukutane baadaye
SIKU NJEMA KWA WOTE
..................
Pamoja Kubwa Lao.Naenda kuzurura
Tukutane baadaye
SIKU NJEMA KWA WOTE
..................
Kweli Mkuu...Mie huwa nawaona akili zao hazina akili na mara nyingi huwa hawajachimba kumsoma na kumtafta huyo mungu mwenyewe..
Ni kosa la kichwa yake...Kama hataelewa tena basi, sio kosa letu
Unataka kuniambia Wamarekani ni Mabepari eti eh?Ilikuwa ni sababu za kisiasa zaidi baada ya kuonekana yeye Charlie Chaplin anaunga mkono zaidi Ukomunist kuliko Ubepari.
Umeipenda eehh...Safi sanaa....![]()
Na kwako pia boiNaenda kuzurura
Tukutane baadaye
SIKU NJEMA KWA WOTE
..................
Duuuh!!!Pia katika tukio hilo kuna watoto wachanga wanne waliokuja kufahamika kama " Miracle Babies " ambao walifukiwa chini kwa siku 7 bila chakula wala maji lakini wakaja kupatikana wakiwa ni wazima kabisa na afya zao zikiwa salama salmini.
Hayo ndio maajabu yaliyotokea Katika tetemeko kubwa kabisa la mwaka 1985 pale Mexico.
Leo katika Historia Orijino:
Kwa udhamini Mnono wa Rooney na Mourinho, niwatakieni Siku njema.
Bye






Unauliza jibuUnataka kuniambia Wamarekani ni Mabepari eti eh?
Mashudu... Labda visiwa vya kuchora au majaruba ya mpunga..Matopeni huko sipo, najua anamiliki visiwa tuu

Ndio mkuuUnataka kuniambia Wamarekani ni Mabepari eti eh?
Hujui hilo!!?Unataka kuniambia Wamarekani ni Mabepari eti eh?
KwakweliAllah Akbar
Mungu mkubwa akitaka liwe linakuwa..
![]()
![]()
Nawe piaNaenda kuzurura
Tukutane baadaye
SIKU NJEMA KWA WOTE
..................
Mkuu inaelekea hujafika mabibo, mabwawa yapo tuMashudu... Labda visiwa vya kuchora au majaruba ya mpunga..![]()
![]()
![]()
Huyu jamaa bhana


Uwe unaendeleea tu kwa post utakayoikuta kurudi nyuma nako kunachosha aisee.Tatizo ni kwamba unapokuwa umebanwa na majukumu ukija kurudi unakuta kuna post mpya zaidi ya 2k, kwa hapo lazima upotee namna ya kuingia na kuendelea
Jamani huyu jamaa was my Fav Rugby player...RIP2015 - Walter Young anafariki Dunia.
Alikuwa ni mchezaji wa mpira wa Rugby toka nchini Marekani.


Hata karibu na Ofisi za DECI pia kuna mabwawa na mabwawa mengine japo cjui yeye anamiliki visiwa vip ntamuulizaMashudu... Labda visiwa vya kuchora au majaruba ya mpunga..![]()
![]()
![]()
Hata karibu na Ofisi za DECI pia kuna mabwawa na mabwawa mengine japo cjui yeye anamiliki visiwa vip ntamuuliza


