Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
1922 - Augusto Netho anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa kwanza wa Angola.
Alikuwa ni Rais wa kwanza wa Angola.
Nenda habari na hoja mchanganyikoDuh sikuwa na habari
MchawiYupi huyo?
Morning SacajoMorning cwtp
Leo katika Historia:
1630 - Jiji la Boston laanza kutambulika rasmi kama sehemu ya Jimbo la Massachusetts huko Marekani.
Asante Jimena Jimenes...Sabato njema kwako piaView attachment 401824View attachment 401825View attachment 401826
Asanteni sana kwa kuwa pamoja nami asubuhi hii ya Leo, shukrani za dhati zitufikieTeamWekaPicha chini ya mwenyekiti Mussolin5
Muwe na sabato njema na weekend njema
Niite Jimena Jimenes
Ciao
Oyeeeeee

1957 - Nchi ya Malaysia yajiunga Umoja wa Mataifa.
Ni ndugu wa serena williams nini???1983 - Vanessa Williams anakuwa Miss America mweusi wa kwanza katika historia ya mashindano hayo.
Tembo1981 - Bakari Kone anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa klabu za Asec Mimosas, Nice, Marseille na timu ya taifa ya Ivory Coast.
Mussolin Vanesa yupi ni yule aliyeimba Save the bast for last au?1983 - Vanessa Williams anakuwa Miss America mweusi wa kwanza katika historia ya mashindano hayo.
R.I.P1968 - Tito Vilanova anazaliwa.
Ni kocha wa zamani wa Barcelona na Hispania.
Alifariki Dunia mwaka 2014.
Asante na kwako piaLeo katika Historia:
Sina la ziada toka mezani kwangu, tukutane kesho kwa udhamini mnono wa Katibu wa TeamWekaPicha Jimena Jimenes JJ.
Sabato njema Wakuu.
Asante mkuu, nawe uwe na Sabato njemaLeo katika Historia:
Sina la ziada toka mezani kwangu, tukutane kesho kwa udhamini mnono wa Katibu wa TeamWekaPicha Jimena Jimenes JJ.
Sabato njema Wakuu.