Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Mimi nipo ChitChat na Jukwaa la siasa napitaga mara moja moja kukiwa na ishu hot, MMU huwa napita nasoma thread za watu najichekea... linalonigusa nachangia nasepa...na tangu nijiunge JF sijawahi kutoa Uzi kama uzi zaidi ya humu tu ila segment ya Old is gold.Jamaaa anapenda sifa sana yule hata kwa vitu vya kuiga/kukopi
Kila jukwaa yupo....ukiona mtu ana mathread kila jukwaa ujue wanatafuta sifa/umaarufu na kujifanya much know
Binafsi nipo chit chat,fasheni na Jamii photos sababu ndo mambo ninayoyapenda na kuyajua + kuyamudu
...................


